Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,703
- 1,724
Wakuu, mie ni mpenzi wa kupata huduma za TTCL. Tatizo nililonalo ni kupata simu ya CDMA kwani ni mwaka sasa tokea cm yangu kudondoka na kioo kupasuka, japo bado inafanya kazi lakini si katika ubora wake. Kampuni hii kwa sasa haina cm hizo. Nitapata wapi cm hizo?