Msaada wa kupata shule private

Msaada wa kupata shule private

Joined
Apr 26, 2016
Posts
54
Reaction score
7
jaman wakuu nisaidien shule za private zenye gharama nafuu hatakama haifanyi vizur katika motekeo yake iwe inamichepuo ya sayansi ada isizidi lak 9
 
Tegeta secondary Mzee ni nzuri na ada ni nafuu,itakufaa mzazi
 
Ni chini ya laki 9,na wadau wanafaulisha karibu wanafunzi wote
 
Back
Top Bottom