UMEFAULU masomo 5, una C3, point 24 total hivyo combi za HKL na HGL zote zinakubali wanachotaka kwenye combi usiwe na zaidi ya point 10 wewe una English B=2, Kiswahili C= 3 na History or geography una D=4 hivyo jumla ni 9. Issue ni ushindani uliokuwepo unaweza ukakosa za serikali hivyo jaribu pia kuomba za private. Bali ukifanikiwa uka komae zaidi na utafikia malengo yako.