Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,353
- 1,235
Kuwa msitaarabu ktk kuandika beki 3, ni jina la dharau. ficha upumbavu wako, beki 3, waite mamazako dadazako na koma kudharirisha watu, lisilo kupendeza wewe usiwatendee wenzio, nyie ndio mnao wanyanyasa wafanyakazi wa ndani,
Kauli zako zitafanya watu waogope kukutafutia msichana wa kazi jina gani unalowaita binadam wenzio kuwa mstaarabu ndugu
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kauli zako zitafanya watu waogope kukutafutia msichana wa kazi jina gani unalowaita binadam wenzio kuwa mstaarabu ndugu
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Ivi naweza kupata kaelimu kidogo kwanini hawa watu wanaitwa beki 3?? Beki moja na mbili nani hadi yeye acheze tatu?Naona Mapolomoko hapo juu karibu amtafune Sumba-Wanga kisa kutumia hilo jina.
Mkuu amejaa povu kama nini!
Siyo povu, wewe ndiyo umeshindwa kutumia lugha ya kistaarabu, maana waweza kung'amua utu wa mtu kwa kauli yake.