wiseboy JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 2,930 Reaction score 3,314 Nov 6, 2013 #1 Jaman msaada, nina kaduka kangu ila naweka nguo za mtumba grade " A" nahitaj kupata mabaro ya aina zifuatazo za nguo. 1. Gaun ndefu na fupi, 2.sket fupi na ndefu 3. Skafu 4.mitandio 5. Simple coats 6. Makoti marefu. N.k
Jaman msaada, nina kaduka kangu ila naweka nguo za mtumba grade " A" nahitaj kupata mabaro ya aina zifuatazo za nguo. 1. Gaun ndefu na fupi, 2.sket fupi na ndefu 3. Skafu 4.mitandio 5. Simple coats 6. Makoti marefu. N.k