Naomba msaada mwenye joining instruction ya chuo cha Institute of Rural Development Planning - Mwanza anisaidie maana nimeenda selfom kwenye post za advanc na vyuo sijafanikiwa kuipata.
Sehemu ya chuo ukiingia inakutaka uingize namba ya shule na namba ya mtihani ya mwanafunzi na hapo chini kunakuwa na maneno ambayo unatakiwa kuingiza yanakuwa hajayapangwa vizuri ukiingiza itakupa mwongozo