Srinivan Ramanujan
Senior Member
- Nov 1, 2019
- 159
- 202
Jamani naombeni msaada wenu
Nenda TAESAHabari
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24, ni mhitimu wa shahada ya Uhandisi wa Mawasiliano (Bsc in Telecommunications Engineering) mwaka huu, 2019 mwezi wa saba.
Dhumuni la uzi huu ni kuwaomba ndugu, jamaa na marafiki wa familia hii ya JamiiForums msaada wa mahala pa kujitolea hata bila malipo.
Nina ufahamu kiasi wa mambo yafuatayo:-
1. Networking
2.Data base (oracle)
3.Programming (c++, java na Php)
Ni nitumaini langu kuwa ombi langu limefika mahala sahihi . Asanteni.
Nenda TAESA
Habari

Kaka wewe ni msomi, msomi ndiye anatakiwa kutoa msaada na sio kuomba msaada
Just shakeup your brain fanya kitu, jamii inasubiria support yako
Sizani kama hawezi, anaweza like everybody elseKaka wewe ni msomi, msomi ndiye anatakiwa kutoa msaada na sio kuomba msaada
Just shakeup your brain fanya kitu, jamii inasubiria support yako
Fika ofisi za TAESA na vyeti vyako OG utajaza form na kusajiriwa few days to come utapata unachokitaka!!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ingia hapa .. Hapo naonaga matangazo ya kazi na ya internship pia.. ukishaingia chagua category ya IT & software sometimes kuna had matangazo ya kazi kwa watu wenye 0-1 year experience yaan new graduate ili mradi uweze ku-demonstrate skills zako na performance
Unaweza ukaonesha kuwa unaweza kwa kutumia project zako mwenyewe kwa case ya programming.
Fika ofisi za TAESA na vyeti vyako OG utajaza form na kusajiriwa few days to come utapata unachokitaka!!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nenda TAESA
Kaka wewe ni msomi, msomi ndiye anatakiwa kutoa msaada na sio kuomba msaada
Just shakeup your brain fanya kitu, jamii inasubiria support yako
Asante kwa ushauri mkuu .. ntafuatilia
kama umesoma COET njoo pm najua lazima utakuwa kipangaHabari
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24, ni mhitimu wa shahada ya Uhandisi wa Mawasiliano (Bsc in Telecommunications Engineering) mwaka huu, 2019 mwezi wa saba.
Dhumuni la uzi huu ni kuwaomba ndugu, jamaa na marafiki wa familia hii ya JamiiForums msaada wa mahala pa kujitolea hata bila malipo.
Nina ufahamu kiasi wa mambo yafuatayo:-
1. Networking
2.Data base (oracle)
3.Programming (c++, java na Php)
Ni nitumaini langu kuwa ombi langu limefika mahala sahihi . Asanteni.
JINGA KABISAkama umesoma COET njoo pm najua lazima utakuwa kipanga
vilaza utawajua tu
sijasoma COET mkuu lakini nahitaji msaada kama unaweza nisaidia.kama umesoma COET njoo pm najua lazima utakuwa kipanga