Matata25 Senior Member Joined Feb 5, 2012 Posts 130 Reaction score 130 Jun 7, 2025 #1 Wakuu nahitaji kopo za namna hii, inatumiwa sana kuchukulia sample za mafuta kwenye petrol stations. Nimetafuta kila sehemu nimekosa kama Kuna anayefahamu zinapopatikana anijuze. Inakuwa na ujazo wa litre 1.
Wakuu nahitaji kopo za namna hii, inatumiwa sana kuchukulia sample za mafuta kwenye petrol stations. Nimetafuta kila sehemu nimekosa kama Kuna anayefahamu zinapopatikana anijuze. Inakuwa na ujazo wa litre 1.
Champion number one JF-Expert Member Joined Dec 17, 2022 Posts 1,553 Reaction score 3,985 Jun 7, 2025 #2 Weka dau tuingie kazini..... Maelezo muhimu 1.sehemu ulipo 2.idadi ya kopo 3.ofa yako 4.mawasiliano yako
Weka dau tuingie kazini..... Maelezo muhimu 1.sehemu ulipo 2.idadi ya kopo 3.ofa yako 4.mawasiliano yako
Matata25 Senior Member Joined Feb 5, 2012 Posts 130 Reaction score 130 Jun 7, 2025 Thread starter #3 Champion number one said: Weka dau tuingie kazini..... Maelezo muhimu 1.sehemu ulipo 2.idadi ya kopo 3.ofa yako 4.mawasiliano yako Click to expand... Mkuu nipo Mwanza kama unauza wewe ndo unatakiwa kuweka Bei na kuelekeza ofisi ilipo nifike
Champion number one said: Weka dau tuingie kazini..... Maelezo muhimu 1.sehemu ulipo 2.idadi ya kopo 3.ofa yako 4.mawasiliano yako Click to expand... Mkuu nipo Mwanza kama unauza wewe ndo unatakiwa kuweka Bei na kuelekeza ofisi ilipo nifike