Msaada Wa kupata hii spare

KELVIN GASPER

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,066
454
Ni ya gari BMW 318 i ya mwaka 1993. Inaitwa transimission solenoid shift. Ni kwenye gearbox. Msaada wenu muhimu. Npo arusha
IMG_20170517_092735.jpg
 
Mkuu angalia amazon...UK or Dubai and you can order. Usipende kununua vitu vya mtaani kwa vitu muhimu kama hivi. Dunia ya leo ni kijiji. HAIJALISHI UKO WAPI. Muhimu ni mpunga tuu.
 
Botswana, South Africa na Namibia zimejaa, tafuta watu walioko huko wakununuloe na kukutumia, kuna jamaa yupo humu JF yupo South kwa sasa mtafute hyo atakusaidia
 
Ni ya gari BMW 318 i ya mwaka 1993. Inaitwa transimission solenoid shift. Ni kwenye gearbox. Msaada wenu muhimu. Npo arusha
- Item hii hapa
Code:
https://www.amazon.com/OES-Genuine-Automatic-Transmission-Solenoid/dp/B001T9FZW4/ref=au_as_r?_encoding=UTF8&Make=BMW%7C31&Model=318i%7C162&Year=1993%7C1993&ie=UTF8&n=15684181&newVehicle=1&s=automotive&vehicleId=5&vehicleType=automotive
upload_2017-5-17_11-47-18.png

Kwa taratibu za manunuzi ingia kwenye hii thread
 
Ni ya gari BMW 318 i ya mwaka 1993. Inaitwa transimission solenoid shift. Ni kwenye gearbox. Msaada wenu muhimu. Npo arushaView attachment 510480
Mkuu haina haja ya kuhangaika hapa hapa bongo uunapata hiyoo.magearbox kibao yamelala.yameunguza clutch bmw kibao zinakatwa katwa.

Sema kwa kuwa upo arusha nimtihani kidogo kama upo vizuri tukuagizie
 
Back
Top Bottom