Msaada wa kupata Free Dating Websites

A man with no name

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2017
Posts
1,131
Reaction score
1,598
Tafadhali naitaji msaada wa jinsi ya kuunganishwa na marafiki duniani kote
Natanguliza shukrani zangu kwenu
 
Msaada wa kuunganishwa na marafiki kote duniani ni wewe kuwa na jitihada za kutafuta pesa then hao marafiki watakuja wenyewe.

Ni hayo tu asante
Ushauri mzuri lakini ili kupata pesa lazima kuwa na marafiki au watu ilikufanikisha mipango yako ndg
 
Ushauri mzuri lakini ili kupata pesa lazima kuwa na marafiki au watu ilikufanikisha mipango yako ndg
sasa wewe unatka marafiki wengi kiasi hcho wakati huna hela ...kwa mpango wako huo utachelewa sana....
 
Tafadhali naitaji msaada wa jinsi ya kuunganishwa na marafiki duniani kote
Natanguliza shukrani zangu kwenu
Si Facebook IPO!
We nenda Facebook na ingie kwenye Wall ya Mark kwenye post zake utakuta Comments za watu wa mataifa mbalimbali waliquest wawe rafiki zako.

Simple.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…