Naomba kusaidiwa kama kuna mtu anafahamu links ya kudownload drivers manake kuna baadhi ya program nikizi install hazimalizi installation kabisa zinakataa kwenye PC yangu kuna mtu akanishauri nitafute drivers