Diagnosis yako iko sahihi kuwa makini na wagonjwa wanaptoshaga sana.
Wanakua na Illusions wakishatumia dawa, atakwambia dawa imemsaidia, kitu fulani kimepungua.
Otherwise huyo anaweza kuwa na inaleta Condyloma Latum ambayo ni Secondary Syphilis.Fanya VDRL kujiridhisha atakwambia walipima magonjwa yote ya zinaa..hiyo haina ukweli pia, mafikiri unaelewa nachomanisha e.g haiwezekani kuwa walimpa Lymphogranuloma Venerium...Hivo hiyo sentensi ni uongo mtupu.
Mwambie akuoneshe uume Warts haziwezi zunguka kichwa chote, na zitakua asymetrical ukikuta ziko asymetrical treat kama Syphilis baada ya VDRL.
Kama VDRL iko negative ma lesions ziko symetrical basi huyo ana Normal feature.
Pia, kama wewe ni muhudumu wa afya usipende share challenge kama hizi lwemye platform kama hizi.
Kuna Platform ambazo unakuta madaktari tu ni PM ntakuumga huko!