Nlikua nahitaji msaada kuhusiana na kupata building permit mana nlikua najenga vibanda vyangu vya uhani nikaambiwa na Serikali ya Mtaa kua yabidi niwe na kibali.
Nlikua nahitaji msaada kuhusiana na kupata building permit mana nlikua najenga vibanda vyangu vya uhani nikaambiwa na Serikali ya Mtaa kua yabidi niwe na kibali.
Mtafute mchora ramani. Akuchoree Raman ya hvo vibanda(existing drawing) sababu ushaanza kujenga.. Apge muhuri hzo ramani then upeleke Manispaa wakupe permit.. Nafanya kazi zote hzo weza nicheki PM for more info...