Msaada kwa mtu mwenye kujua apps ambayo inahusika na kutoa notes kwa mfumo wa pdf au kama ilivyo biblia, kwa fani ya uhasibu na managements.
Nitashukuru sana.
vyuo vya Tz vikishiriana na vya uko mbele vinatoa notes online hapa vyuoni kwa wireless nenda chuo husika wakupe password udownload free....mfano hapo muhimbili ni free wireless