msuya4real
Member
- Oct 14, 2016
- 76
- 27
Ni kwamba hii simu nilinunua kwa mtu kwa hiyo nikaamua kuirestore ili niweke e-mail yangu, kwa hiyo nikidownload whatsapp nikiingiza namba ninatumiwa msg ya zile code sita ila nikishaingiza hizo code hatua inayofuata haifunguki bali naona mtu aliyekuwa anatumia hii simu aliweka security code ambayo inakuja as a two step verification, ambayo hizo code mmi sizijui na mtu aliyeniuzia sijchukua namba yake na hakuna option ya kuskip mpka uingize hizo code ndo unaweza kufanya unable ya two step verification codeFafanua zaidi unachofanya, hiyo 2 step verification inakuja wakati gani na unajuaje kama ni ya WhatsApp?

Haijaonyesha maana haifunguki hadi nipate hizo code ndo naweza kuziingiza na kuanza kupata option mbalimbaliNinavoelewa unaweza ku skip hiyo step,haijaonesha icon ya kubonyeza ili u skip kama huitaji two step verification?
Situmii nmba ya huyo aliyeniuzia simu bali natumi namb yangu2 step verification inawashwa kwa namba ya WhatsApp na sio kwa simu, kwani wewe unajaribu kutumia namba ya huyo aliyekuuzia simu?
Hiyo 2 step imewashwa kwenye namba yako. Wakati unaiwasha wanakuomba email na unaweza kuzima hiyo pin kwa kutumia email waliyokutumia.
Basi hizo pin uliziweka wewe lakini ukasahau....Situmii nmba ya huyo aliyeniuzia simu bali natumi namb yangu
Basi subiri siku 7 kama nilivyokuambia itafutwa.Situmii nmba ya huyo aliyeniuzia simu bali natumi namb yangu
Mwenye simu hahusiki kwenye 2 step ya WhatsApp maana inawekwa kwenye namba ya simu na sio kwenye simu yenyewe. Hiyo SIM card akiweka kokote italeta hiyo 2 step, inabidi asubiri tu siku 7 wataifuta wenyewe WhatsApp kisha unaweza kujiunga upya.Hapo kazi ipo inabidi urudi kwa jamaaaa aliyokuuzia hyo simu ili akutajie verfication code zake
Picha ya jinsi inavyoandika hiyo hapo na sikumbuki Code ila nikiweka namb mpya inakubaliSitumii nmba ya huyo aliyeniuzia simu bali natumi namb yangu
Hapo kazi ipo inabidi urudi kwa jamaaaa aliyokuuzia hyo simu ili akutajie verfication code zake