Maybe ni suala la mtandao. Ukiingia walipoandika "Vacancies" utaziona hzo kazi na vigezo vyake. Kwenye ku-apply ingia walipoandika "Job Application", hapo ndo mtandao unasumbua kiac flan, but usichoke, jarbu mara kwa mara, inachukua muda kufunguka. Hakuna alternative way, coz ni online application tu!!