kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,993
Wakuu Nimeingia kwenye system naambiwa nacte registration number ndo ipi?
Mb: Naomba diploma ya law
Mb: Naomba diploma ya law
Upo wapWakuu Nimeingia kwenye system naambiwa nacte registration number ndo ipi?
Mb: Naomba diploma ya law
Nenda MWENGE CATHOLIC UNIVERSITY MOSHIWakuu Nimeingia kwenye system naambiwa nacte registration number ndo ipi?
Mb: Naomba diploma ya law
Nipo iringa mkuu dogo kasomea kule arushaUpo wap
Dogo ndo kaanza pale mwaka jana chetiNenda MWENGE CATHOLIC UNIVERSITY MOSHI
Kwa vipi bossHicho chuo dhaifu katika vyuo dhaifu
Acha uongo mkuu mm nipo makumira hpo kwa vyuo vya sheria kipo vizuriHicho chuo dhaifu katika vyuo dhaifu
Boom unapata?Nachukua sheria hapo makumira university! Acha kudanganya watu
Ukiomba ukiwa qualified unapataBoom unapata?