Ni samsung mkuuUngetaja na brand unayoipenda.
Tecno
Huawei
Samsung
Sony
IPhone
J7,S5
Tafuta s6 utapata kwa hiyo beiWadau nina bajeti ya sh laki tano naomba wale wenye uzoefu na simu waniambie kwa bajet hiyo ninunue simu gani bora natanguliza shukrani za dhati kwenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hauna ndugu na hata marafiki wa karibu....[emoji34] [emoji34] [emoji34]Wadau nina bajeti ya sh laki tano naomba wale wenye uzoefu na simu waniambie kwa bajet hiyo ninunue simu gani bora natanguliza shukrani za dhati kwenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu humu wengi wanatumia tecno, hata huyo aliekwambia uongeze 200k for iPhone na wakati ushasema unataka samsung nae anatumia tecno. Hata huyo ushimen nae ni tecno si umeona alivyokujibu hapo juu! So kuwa mwangalifu sana [emoji1][emoji23]Wadau nina bajeti ya sh laki tano naomba wale wenye uzoefu na simu waniambie kwa bajet hiyo ninunue simu gani bora natanguliza shukrani za dhati kwenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nauza lenovo karibuWadau nina bajeti ya sh laki tano naomba wale wenye uzoefu na simu waniambie kwa bajet hiyo ninunue simu gani bora natanguliza shukrani za dhati kwenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu nimeona humu wamejaa timu tecnoMkuu humu wengi wanatumia tecno, hata huyo aliekwambia uongeze 200k for iPhone na wakati ushasema unataka samsung nae anatumia tecno. Hata huyo ushimen nae ni tecno si umeona alivyokujibu hapo juu! So kuwa mwangalifu sana [emoji1][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu acha povu au tecno yako inakusumbua nini??Kwani hauna ndugu na hata marafiki wa karibu....[emoji34] [emoji34] [emoji34]
Ipo siku mtakuja kuomba ushauri wa kununua hata nguo za ndani, kisa unabajeti ya kiasi cha fedha kadhaa....[emoji34] [emoji34]
Tanzania, ni kosa la jinai kusema ukweli. Bila shaka ungekua na mamlaka, ungeniita mchochezi