sina uhakika na Block au piston ya CG 125 ila ring-piston zake ni 6,000/= tu tena Genuine
Boxer jamaa yangu kwa huku Bara ni za kubeba abiria tu tena kwenye On Road tofauti na CG-125 zenyewe iwe Off Road (yaani pasipo na Lami au Tambarare) inapasua
Huko Ruvuma na Rombo mipakani nasikia wanazipenda sana SunLG, T-Better na nyinginezo hizi Bwana zinabeba mpaka 100kg na mwendo 120kph Boxer kwenye Off Road hawezi itakutupa na haibebi mizigo (kwanza haina carrier)
Kuna TOYO, T-Better mpaka za miguu 3 zina spea kibao