Mnyamwezi wa Urambo JF-Expert Member Joined Dec 7, 2011 Posts 928 Reaction score 275 Jul 11, 2013 #21 Delzzy said: Msaada jamani hellena m sailas kwenye selection za chuo.msaada tafadhari.sangu secondary nimesoma Click to expand... Samahani mkuu, LIST niliyonayo ni ya wanaume tu. Ngoja nikutafutie yawanawake nitakujulisha.
Delzzy said: Msaada jamani hellena m sailas kwenye selection za chuo.msaada tafadhari.sangu secondary nimesoma Click to expand... Samahani mkuu, LIST niliyonayo ni ya wanaume tu. Ngoja nikutafutie yawanawake nitakujulisha.
Mnyamwezi wa Urambo JF-Expert Member Joined Dec 7, 2011 Posts 928 Reaction score 275 Jul 11, 2013 #22 View attachment WASICHANA - ALPHABELICAL LIST 2013.pdfView attachment 101711
Mla Bata JF-Expert Member Joined Jan 24, 2013 Posts 8,560 Reaction score 20,044 Jul 11, 2013 #23 Mnyamwezi wa Urambo said: ISSIAKA YASINI anakwenda LUGOBA PCM, Ramadhan Shabani NYERERE (MWANGA) HGK. Kila la kheri wadogo zetu mkasome kwa bidii. Click to expand... Mkuu kama hautojali ningependa uniangalizie ABUBAKARI .H. MEZA, Ametoka Tumbi sec s.1088/0070, natanguliza shukrani kwako mkuu.
Mnyamwezi wa Urambo said: ISSIAKA YASINI anakwenda LUGOBA PCM, Ramadhan Shabani NYERERE (MWANGA) HGK. Kila la kheri wadogo zetu mkasome kwa bidii. Click to expand... Mkuu kama hautojali ningependa uniangalizie ABUBAKARI .H. MEZA, Ametoka Tumbi sec s.1088/0070, natanguliza shukrani kwako mkuu.
Mnyamwezi wa Urambo JF-Expert Member Joined Dec 7, 2011 Posts 928 Reaction score 275 Jul 11, 2013 #24 Abubaro said: Mkuu kama hautojali ningependa uniangalizie ABUBAKARI .H. MEZA, Ametoka Tumbi sec s.1088/0070, natanguliza shukrani kwako mkuu. Click to expand... Mkuu nimeambatanisha list ya wanafunzi wote waliochaguliwa kwenda form five hapo juu hebu jaribu kucheki.
Abubaro said: Mkuu kama hautojali ningependa uniangalizie ABUBAKARI .H. MEZA, Ametoka Tumbi sec s.1088/0070, natanguliza shukrani kwako mkuu. Click to expand... Mkuu nimeambatanisha list ya wanafunzi wote waliochaguliwa kwenda form five hapo juu hebu jaribu kucheki.
Matukuta Jr JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 207 Reaction score 27 Jul 11, 2013 #25 Niangalizie jina la Safina Nyiwala anatokea Kalobe Sekondari. Huyu ni Mwenyekiti mstaafu wa juzi wa CHIPUKIZI Wilaya ya Mbeya Mjini.
Niangalizie jina la Safina Nyiwala anatokea Kalobe Sekondari. Huyu ni Mwenyekiti mstaafu wa juzi wa CHIPUKIZI Wilaya ya Mbeya Mjini.
MARCKO JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 2,258 Reaction score 275 Jul 11, 2013 #26 Mnyamwezi wa Urambo said: Amechaguliwa MWAKALELI HGE Click to expand... Barikiwa sana
Matukuta Jr JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 207 Reaction score 27 Jul 11, 2013 #27 Matukuta Jr said: Niangalizie jina la Safina Nyiwala anatokea Kalobe Sekondari. Huyu ni Mwenyekiti mstaafu wa juzi wa CHIPUKIZI Wilaya ya Mbeya Mjini. Click to expand... Jamani msaada hapa!
Matukuta Jr said: Niangalizie jina la Safina Nyiwala anatokea Kalobe Sekondari. Huyu ni Mwenyekiti mstaafu wa juzi wa CHIPUKIZI Wilaya ya Mbeya Mjini. Click to expand... Jamani msaada hapa!