Huyo dege kama yeye kumpata kazi sana, ila mimi nina baadhi ya unga wa viungo vyake kama ifuatavyo
1. Kichwa na nyusi zake
2. Kidevu na taya ya juu
3. Manyoya mgongoni mchanganyo na za kisogoni
4. Uti wa mgongo ulo changanywa na ncha ya mdomo unaotumika kutobolea
5. Ubongo ulochanganywa na fuvu lake
6. Mfupa paja na kucha moja anayotumia kunolea mdomo wake
7. Manyoya ya nyuma yalosagwa na udongo wa uliotoka chini ya mti wenye kitanda cha nyani
8. Utumbo wake uliopamoja na nyongo yake ila umechanganywa na samaki wa nchi kavu ambao hupatikana ghuba ta uajemi kwa shughuri maalumu
9. Macho yake yalochanganywa na machozi ya samaki aina papa pamoja na gesi ya kijambo cha nguluwe mjamzito nyakati za usiku