Lazima kadi yako iwe imeruhusiwa na benk husika...maana hata visa yangu ilikuwa inagoma......ni vizuri ukawa unatumia dola japokuwa hata shiling inafaa....
Unaweza fungua account ya paypal ambayo utakuwa unaijaza salio...au pia kupitia direct purchase kutoka kwenye acc yako ya benk...
Kujaza taarifa wakat ya manunuzi......fuata maelekezo unayopewa na mtandao
Kuna kipengele cha card number...ingiza namba za zipo nyingi juu ya card na sio namba za acc......pia kuna kuingiza security number ambazo ni tatu na zipo mwisho pale nyuma ya card ulipo saini...pia exp data ni mwezi na mwaka.