Msaada wa kulipia bidhaa mtandaoni

Msaada wa kulipia bidhaa mtandaoni

Mwamba1961

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2016
Posts
633
Reaction score
417
Habari mwana - JF,

Naomba mnifundishe jinsi ya kulipia bidhaa ninazotaka kulipia kwa ya mtandao,
Natumia Visa...

Msaada plz nimekwama

Lazima kadi yako iwe imeruhusiwa na benk husika...maana hata visa yangu ilikuwa inagoma......ni vizuri ukawa unatumia dola japokuwa hata shiling inafaa....
Unaweza fungua account ya paypal ambayo utakuwa unaijaza salio...au pia kupitia direct purchase kutoka kwenye acc yako ya benk...

Kujaza taarifa wakat ya manunuzi......fuata maelekezo unayopewa na mtandao

Kuna kipengele cha card number...ingiza namba za zipo nyingi juu ya card na sio namba za acc......pia kuna kuingiza security number ambazo ni tatu na zipo mwisho pale nyuma ya card ulipo saini...pia exp data ni mwezi na mwaka.
 
unataka uwe unatumia mtandao upi kuagizia hzo bidhaa ?
 
Asante nimepata kitu..
 
pitia hapa utapata majibu yote na msaada juuu Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Asante rafiki..

Umenipeleka kwenye link ambayo nimepata vitu vya maana sana..

kumbe kuagiza bidhaa nje ni nafuu kuliko kwenda kariakoo au mlima city , Mimi sijaelewa vizuri ?

Mfano nilikuwa natafuta Dell 3542 keyboard ya laptop nimeona ni US $10.60 , sasa nikilinganisha na bei ya k/koo nilinunua Tsh 50,000/=
 
Back
Top Bottom