Msaada wa kukonekti Modem ya TTCL.

Kuna sehemu ya kujaza number ya line yako unayoi2mia ktk modem, na pengne unaweka barua pepe <am nt sure example ttcl@....tz > yao then una dial
 
naomben msada wa kukonekti Modem ya TTCL.

Mkuu,

Kama ulipewa hio Modem na TTCL si watakuwa walimtuma mtaalam wao aje akufungie?

Kama aliifunga na wewe umeiharibu inabidi uwaambie TTCL na uwe tayari kulipa ujira kidogo ili waje wafanye new installation.

Kama hio modem ni ya kutoka mahal pengine na si TTCL basi hiyo kazi yake itahitaji fundi wa kawaida.
 
modem ya plug and play then unafanya setting za internet.
Phone....
User....
Password
 
kama modem yako ni zte,
username= nambayamodem@ttclmobile.
Password=namba sita za mwisho za mode.
Click appy,
and connect
eg 0722898900@ttclmobile
pass. 898900.
 
naomben msada wa kukonekti Modem ya TTCL.

mwanzo kwenye phone weka #777
user weka namba ya lin itumikayo hyo ttcl & then mwisho wa namba weka@ttcl mobile
kwenye password weka namba 6 za mwisho wa hzo namba za line
kwenye chap na pap weka tik
kwenye mode weka hybrid mwisho kuwe na tik kwenye auto re-connect baada ya hapo press apply pale chin itakuwa poa make sure umeweka salio!
 
naomba msaada wa ku connect modem ya ttcl katika modem ya zte
 
kama unatumia window 10, utakesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…