nashukuru mkuu, mi nataka nijifunze as much as i cann, lakini kwa kuanzia nianze na web programming then hiyo ya program za kawaida za computertoghocho programming ni pana sana. ingekua poa kama ungesema unataka kufanya programming ya aina gani mfano labda ni web programming, mobile programming kwa ajili ya simu za java, android, iOS n.k au kama unataka kufanya programming ya desktop application(program za kawaida za kompyuta) nk. Nimekwambia hivyo kwa sababu kila programming language imetengenezwa kwa ajili ya kutengeneza software za aina fulani.
nashukuru mkuu, mi nataka nijifunze as much as i cann, lakini kwa kuanzia nianze na web programming then hiyo ya program za kawaida za computer
ntashukuru kama ntaweza kufanya zote..by the way nimeanza personal notes kwa introduction to programming.kama unataka kujifunza vyote basi fanya vyote kwa pamoja na sio usubiri mpaka utosheke na kimoja wapo. Mimi co mtaalam wa web programming kwa hyo sina mwongozo makini hapo, wataalam wakipita hapa watatoa mawazo yao kwani kuna tools nyingi sana za web programming.
ntashukuru kama ntaweza kufanya zote..by the way nimeanza personal notes kwa introduction to programming.
Kufanya vyote si realistic hasa kwako wewe ambaye hukuwahi kusoma say kwenye first degree,anza na kitu simple.Programming inahitaji uwe kichwa,uwezo mkubwa ku kufikiri na kuweza kuyaona mambo kutoka angle tofauti kama a designer,system analyst,user,etc.Kuna vitabu vinavyoongelea basic za programing mambo kama pseudo code,algorithm.Hivi ni vitu vinavyokujenga kuwa programa.Unaweza ukapata vitabu vingi ila kama unaweza pata kitabu fulani pale CoET cha Dr.Ishengoma kinaweza kukupa mwanga wa programming.Kinaongelea programming with Pascal(imepitwa na muda ila for the sake of knowing the basic of programming kinafaa.)
Programming inahitaji commitment,uwe mtu wa kusoma sana na kuthink outside of the box,kuna programming ya kuinteract na hardware,database,PLC(programmable Logic Controller kama unataka kutengeza automated devices).
Kwa kifupi be specific,unataka programming kwenye field ipi,then go for it at any cost.Hesabu isiwe tatizo kwako otherwise unaweza kuishia kuandika "Hello,world".Just kiddin'.karibu ktk programming.
C for hardware, PHP,JAVA/C#/VB for Batabase.Naomba nijuvye khs prgrm languages nzuri za hizi kwenye red.
Naomba nijuvye khs prgrm languages nzuri za hizi kwenye red.
Mfano wa program inyointeract na hardware ni Kernel programs,namaanisha ktk Operating sysytem kuna Kernel programs na Shell programs.
Kernel inawezesha mawasiliano kati ya hardware and shell.
Kernel code inaandikwa kufanya kazi na hardware,files na vifaa vinavyounganishwa kwenye computer .
Shell ni code inayoandikwa kuinteract na hardware.Hizi ni advanced just for the sake of understanding,OS ni complex program.
user<---->shell<------>kernel<------->hardware
Kuinteract na database programming language zipo nyingi kutegemeana na database imetengenezwa kwa kutumia database language ipi.Sql,Mysql etc.Java,Vb.net,C#,php,python
mkuu Aqua shell is all about GUI na haina uhusiano wa moja kwa moja na hardware. Shell ni program SPECIAL katika OS yoyote ambayo inampa user a GI ili aweze kuwasiliana na Kernel. Source: Peter Norton(1990s) Introduction to Computers
Heshima mbele wakuu, nina passion ya kujifunza programming, lakini tatizo ni kwamba sijui nianzie wapi, in short computer najua basics zake tu ukizingatia nimesoma biashara kuanzia form 3 mpaka degree, lakini najua hiyo hainizuilii kujifunza programming na vitu vingine, naombeni msaada wenu natajkiwa nianzie wapi ili niweze kujifunza na kumaster on my own bile kuhitaji kwenda chuo chochote.
Hakuna tofauti sana linapokuja kwenye kufanya Advanced Issues. Memory management na vitu vingine vichache tu ndio vimerahisishwa ktk C#. VB ni kwa ajili ya wavivu na watoto π:makusudically put:πNakushauri ukitaka kufanya uchaguzi wa language kama alivyosema Jangakuu basi chagua .det usichague java, program nyingi zinazotengenezwa kwa java zina tatizo la kuwa SLOW
Pia sikushauri uchague c++ hii itakufanya uione programming ngumu. Chagua vb.net au visual c#,