double click JF-Expert Member Oct 12, 2012 569 945 Nov 15, 2021 #1 polen kwa majukumu nilikuwa naomba kwa anaejua anielekeze ni vp nitapata app ya good lock kwenye samsung niko Tanzania...Hii app inapatikana kwenye baadh ya nchi. Mwenye kujua naweza vip ku install kwenye simu naomba anisaidie
polen kwa majukumu nilikuwa naomba kwa anaejua anielekeze ni vp nitapata app ya good lock kwenye samsung niko Tanzania...Hii app inapatikana kwenye baadh ya nchi. Mwenye kujua naweza vip ku install kwenye simu naomba anisaidie