yuppie boy
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 213
- 49
Kama kuna application zozote za voda zi uniinstall, then restart machine install upya. Kama una join air install hiyo kwanza utakuwa umesolve tatizo I guess
Bila shaka unatumia windows XP. Download and install .NET FRAMEWORK 2. Itaondoa hilo tatizo,Ambalo hata mimi nilisha kumbana nalo. Lete feedback ukifanikiwa.
Kama kuna application zozote za voda zi uniinstall, then restart machine install upya. Kama una join air install hiyo kwanza utakuwa umesolve tatizo I guess
Easy...!!!!, Ina-fail ku-install kwa sababu NetBIOS over TCP/IP haifanyi kazi kutokana na kukosekana kwa WINS servers ktk operating systems ya hiyo computer, hivyo nakushauri ufanye update ktk computer to latest service pack of Windows XP. Baada ya hapo fanya installation ya hiyo mederm.
Jaribu ku-upgrade windows installer kwenye kompyuta yako