MSAADA WA KUINSTALL ANDROID APP KWENYE MICROSOFT LUMIA

MSAADA WA KUINSTALL ANDROID APP KWENYE MICROSOFT LUMIA

Abeyyyyy

New Member
Joined
Feb 5, 2016
Posts
3
Reaction score
0
Hellow wana JF. Naomba msaada wenu wa jinsi ya kupata, kuinstall na kutumia android apps kwenye simu ya window. Nimejitahidi kutafuta namna lakini nimeshindwa.
Natumia simu ya MICROSOFT LUMIA 950
Windows 10.
Anaejua please anielekeze
 
Impossible mzee wala usisumbue kichwa.
Only Blackberry ndo ina emulator ya android ambapo unaweza install apps za BB au Android
 
Inawezekana...ingia youtube uangalie tutorial..! Zipo nyingi sn
 
sasa hivi hizo simu unaweza unlock bootloader, kuna experiments nyingi sana watu wanazifanyia kama kuweka windows on arm (ambayo ni kama full pc), win rt, hizo android support unazosema na nyengine nyingi. sema bado zipo stage ndogo sana, itachukua muda mpaka ziwekwe kwenye mfumo wa mtu wa kawaida kuweza kufanya mwenyewe.
 
kwa hyo haiwezekani sasa
 
Back
Top Bottom