K kasinge JF-Expert Member Joined May 22, 2011 Posts 1,259 Reaction score 319 Aug 31, 2016 #1 Habari wanajukwaa. Mimi ni mwalimu wa sekondari ambaye kwa sasa niko likozo ya masomo. Je kuna utaratibu wa mtu aliyeko masomoni kuweza kuhama kituo cha kazi akiwa bado na likizo ya masomo? Nataka kuhamia wilaya nyingine ila mkoa ule ule. Ahsanteni.
Habari wanajukwaa. Mimi ni mwalimu wa sekondari ambaye kwa sasa niko likozo ya masomo. Je kuna utaratibu wa mtu aliyeko masomoni kuweza kuhama kituo cha kazi akiwa bado na likizo ya masomo? Nataka kuhamia wilaya nyingine ila mkoa ule ule. Ahsanteni.
sammy255 Senior Member Joined Aug 28, 2016 Posts 123 Reaction score 87 Sep 2, 2016 #2 Mkuu iyo process nadhan unaweza kuifany vzur ukiwa tayar umeshamaliza likizo yako ya masomo ila kidog inachukua muda
Mkuu iyo process nadhan unaweza kuifany vzur ukiwa tayar umeshamaliza likizo yako ya masomo ila kidog inachukua muda
B Bacary Superior JF-Expert Member Joined Jul 3, 2014 Posts 3,721 Reaction score 1,515 Sep 2, 2016 #3 rudi kazini
mtei msomi Member Joined Jul 30, 2016 Posts 16 Reaction score 4 Sep 4, 2016 #4 We nenda ktk ofs ya mkurgnz wako watakupa taarfa dahh cyo kila kitu lzm uulize mana hapa utapotoshwa
kkkt JF-Expert Member Joined Nov 22, 2014 Posts 364 Reaction score 115 Sep 4, 2016 #5 mtei msomi said: We nenda ktk ofs ya mkurgnz wako watakupa taarfa dahh cyo kila kitu lzm uulize mana hapa utapotoshwa Click to expand... Ni kweli
mtei msomi said: We nenda ktk ofs ya mkurgnz wako watakupa taarfa dahh cyo kila kitu lzm uulize mana hapa utapotoshwa Click to expand... Ni kweli
mwakasongoro Member Joined Aug 4, 2016 Posts 51 Reaction score 17 Sep 5, 2016 #6 Kisheria hadi urudi kazini kwanza