B benitoc Member Joined Nov 16, 2010 Posts 48 Reaction score 15 Jan 17, 2017 #1 Nahitaji nafasi ya kuhamia mwanafunzi katika shule ya Kilakala Morogoro haraka. Mwenye uwezo wa kunisaidia tuwasiliane
Nahitaji nafasi ya kuhamia mwanafunzi katika shule ya Kilakala Morogoro haraka. Mwenye uwezo wa kunisaidia tuwasiliane
ngopyolo JF-Expert Member Joined Oct 20, 2013 Posts 1,940 Reaction score 1,521 Jan 17, 2017 #2 Fuata kanuni,kamuone mkuu wa shule ya kilakala umuombe nafasi ya kuhamia ukipata ndo uende kwenye shule anayosoma sasa watakupa utaratibu
Fuata kanuni,kamuone mkuu wa shule ya kilakala umuombe nafasi ya kuhamia ukipata ndo uende kwenye shule anayosoma sasa watakupa utaratibu
amamus JF-Expert Member Joined Oct 3, 2016 Posts 370 Reaction score 236 Jan 17, 2017 #3 Marks zake zinamruhusu? (Wanaita Vipaji maalumu mkuu).
Mwanamaji JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 2,906 Reaction score 4,525 Jan 18, 2017 #4 benitoc said: Nahitaji nafasi ya kuhamia mwanafunzi katika shule ya Kilakala Morogoro haraka. Mwenye uwezo wa kunisaidia tuwasiliane Click to expand... Ni PM nikupe namba ya mwalimu wa pale yeye atakupa ABC
benitoc said: Nahitaji nafasi ya kuhamia mwanafunzi katika shule ya Kilakala Morogoro haraka. Mwenye uwezo wa kunisaidia tuwasiliane Click to expand... Ni PM nikupe namba ya mwalimu wa pale yeye atakupa ABC
daraja la kigamboni JF-Expert Member Joined Apr 28, 2016 Posts 3,342 Reaction score 3,231 Jan 18, 2017 #5 Hawezi kuhamia hiyo ni special school Labda kama anatoka special nyingine i.e tabora girls na msalato
Hawezi kuhamia hiyo ni special school Labda kama anatoka special nyingine i.e tabora girls na msalato
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,468 Reaction score 119,622 Jan 18, 2017 #6 McCain Kuwa basi na adabu. Unamfahamu mtoto wake?
McCain JF-Expert Member Joined Dec 2, 2016 Posts 1,168 Reaction score 517 Jan 18, 2017 #7 Tunaogopa aibu iliyowakumba mtwara
B benitoc Member Joined Nov 16, 2010 Posts 48 Reaction score 15 Jan 18, 2017 Thread starter #8 Nitakucheki mkuu