pongwer
Senior Member
- Mar 19, 2015
- 174
- 26
Naomba msaada ndugu zangu kama kuna mwenye kujua namna ya kufuta / kuremove all post & follows ktk instagram account Kama mtu anaijua program maalumu ya kufanya kazi hii naomba nisaidie....
Bila shaka nahisi zipo program za kufanya hivo maana unaweza kukuta msanii fulani hivi mkubwa ana follows na post nying akaamua kuremove vyote hivyo kwa muda mfupi tu.
Muda mwingine unakuta page imedukuliwa ndani ya masaa kadhaa unakuta jamaa kafuta pics zaidi ya 1000+ na follows zaidi ya 3000 kwa muda mfupi san
>> SO NAHITAJI HII KITU KWAKUWA NINA ACCOUNT YANGU YA KITAMBO INA ZAIDI YA FOLLOWERS 65k SASA NINA WAZO JIPYA LA KUITUMIA ACCOUNT HIYO KWA BIASHARA KWA KUFUTA KILA KITU ILI NIANZE MAISHA MAPYA
>> SASA NIMEONA HAINA HAJA YA KUNUNUA ACCOUNT MPYA AU KUITENGENEZA MPYA WAKATI NINAYO YA ZAMANI PIA NINAO WANAJAMVI AMBAO WANAUWEZO WA KUTOA MAELEZO KWA WELEDI MKUBWA TU