Mzee Saliboko
JF-Expert Member
- Jan 29, 2018
- 1,329
- 1,044
Ngoja waje experts namihivohivo nataka nifute nisije okotwa Coco beach.Duuh pole sana mkuu
Mkuu Facebook account inafutika ila kwa sharti la kutoifungua baada ya kuifuta ndani ya siku 30 tukwanza fb hawana option ya mtumiaji kufuta ac, maybe kama unataka kui Deactivate hapo sawa
Deactivate ndiyo kufuta yenyewe,kwanza fb hawana option ya mtumiaji kufuta ac, maybe kama unataka kui Deactivate hapo sawa
Kama uliondoa namba ya simu na e-mail means huna access na acc yako. Unaweaje ku- log in?Msaada account yangu ya Facebook niliiondolea email na namba ya simu nikitaka kuifuta haikubali, au kufuta picha hazifutiki nikitaka kuilogin holla hata nikitaka kuweka namba au emails haikubali .
Mwenye lakunisaidia tafadhali
DuhStory yako inanikumbusha movie ya friend request
ndo naomba kujua Kama kunaufundi ili niifuteKama uliondoa namba ya simu na e-mail means huna access na acc yako. Unaweaje ku- log in?