mliverpool
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 1,558
- 2,937
habari zenu wanajukwaa,nina mpango wa kufungua kampuni ya usafi majumbani,maofisini na mitaani kwenye barabara n.k kwa kushirikiana na jamaa yangu mmoja, so naombeni msaada kwa mwenye uelewa wa gharama halisi za vifaa na kwa mtaji wa kiasi gani unaweza kuwa muafaka kama kianzio kwa biashara hii!nipo dar es salaam,temeke