Msaada wa kufungua Files za .rar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa kufungua Files za .rar

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by stephot, May 25, 2012.

 1. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 5,031
  Likes Received: 2,648
  Trophy Points: 280
  Nime-download file ya.rar kwenye flash yangu ila nashindwa kui-run kwenye computer yangu naomba mnipe maujuzi wataalamu.
   
 2. Fredrick Ishengoma

  Fredrick Ishengoma Verified User

  #2
  May 25, 2012
  Joined: May 6, 2012
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ".rar" file type zinastore data kwa kutumia type flani ya compression.
  Ili kufungua hizo files unatakiwa u install program za ku uncompress hizo ".rar" files.
  Program hizo zipo nyingi, ila baadhi ambazo ni popular ni winrar na alzip.

   
 3. dlink

  dlink Member

  #3
  May 25, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  Pia unaweza tumia 7zip beta version, ambayo utaextract all files simply click Download 7-Zip 9.22 Beta FOR FREE to win..
   
 4. Mr Kicheko

  Mr Kicheko JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  wengi wanatatizwa na rar file just imagiNe baada ya kudownload rar file na kuona halifunguki wanadhani ni kirus flan hiv.
  Kumbuka file zingine zinafungwa na password na wahusika wenyewe so hatujui mdau kakwama wapi!!!
   
Loading...