namba force
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 758
- 434
Tuma na ya kutolea nikufungulie chapMm nmehangaika mpka nimemuachia mungu [emoji38]
Njoo dmtuma na ya kutolea nikufungulie chap
1. Unatumia VPN?Habar wataalam!!! Nimejaribu kufungua akaunti ya twitter na ikifika sehemu ya kuweka kodi nayotumiwa kwa sms au email inagomea hapo hapo. Naomba msaada wap nakwama???
Yaani ukishaingiza kodi wanazokutumia inakurudisha mwanzo tena1. Unatumia VPN?
2. Unapata ujumbe gani hapo unaposema "inagoma"?
3. Unaweza kuweka screenshot hapa?
Unapoingiza kodi wanazokutumia inakurudisha mwanzoInagoma kivip unatumia VPN
Baada ya kukurudisha mwanzo, ulishajaribu ku-sign in?Yaani ukishaingiza kodi wanazokutumia inakurudisha mwanzo tena
Ukiingiza kodi wanazokutumia hakuna kinachoendelea tenaInagoma kivip unatumia VPN
Ndio1. Unatumia VPN?
2. Unapata ujumbe gani hapo unaposema "inagoma"?
3. Unaweza kuweka screenshot hapa?
Yaani ukiingiza kodi tu biashara inaishia hapoNdio