mkuu wanatumia tech gani fiber au izi microwavevodacom utalipia kwa mwezi laki 1 na mkataba mwaka 1 utumie usitumie unalipia laki 1 kila mwezi na usipolipia wanakata huduma na ukikaa miezi 2 mfn bila kulipia ndo ukaenda kulipa kwanza wanakata ile miezi miwili usiolipia then ndo yanafuata mengine
uzuri wake ni unlimited full speed
torrrent huwa napata mpk 2.5 Mbps na hapo ni mchana
WI-FI tu mzeemkuu wanatumia tech gani fiber au izi microwave
Unaweza ukalink hio huduma maelezo yake?vodacom utalipia kwa mwezi laki 1 na mkataba mwaka 1 utumie usitumie unalipia laki 1 kila mwezi na usipolipia wanakata huduma na ukikaa miezi 2 mfn bila kulipia ndo ukaenda kulipa kwanza wanakata ile miezi miwili usiolipia then ndo yanafuata mengine
uzuri wake ni unlimited full speed
torrrent huwa napata mpk 2.5 Mbps na hapo ni mchana
Ttcl sio Adsl walioleta?WI-FI tu mzee
awali tulikuwa tunatumia TTCL na fiber lkn uozo tu ndio tukahamia Voda
kwa BONGO internet angalia speed na bei ukiona havikuumizi kulingana na matumizi yako lipia tu 7bu 90% miundombinu ya fiber haijafika ni TTCL pekee ndo wamefikisha fiber sehemu kubwa ila nashindwa waelewa kwann wapo slow
hiyo huduma mpk uwe na kampuni na uende na vielelezo vyote vya kampuniUnaweza ukalink hio huduma maelezo yake?
itakuwa sijui ndio hiyo hiyo mzee mana ROUTER lao lilikuwa la ajabuajabu kishezi sio za kwaida kwanza haina sehemu ya laini tofauti na hii ya voda unaweza weka laini nyingine ila iwe VODATtcl sio Adsl walioleta?
Haina tier? Maybe kiasi fulani kwa speed fulani?hiyo huduma mpk uwe na kampuni na uende na vielelezo vyote vya kampuni
ni kwa ajili ya kampuni sio mtu mmoja mmoja
unaena ofisini kwao au zamani walikuwa wanakuja kabisa wafanyakazi wao ofisini kukusajili na ROUTER unapewa bure
we unachotakiwa ulipie miezi miwili ya mwanzo yote cash
hapo sijajua mzee ngoja nitauliza ila ofisi tupo wengi computer zipo km 10 hivi na kila mtu anapata speed nzuri simu wote tumeunga hiyo ROUTERHaina tier? Maybe kiasi fulani kwa speed fulani?
Wanakupa router mzee au inakuwaje kuwajevodacom utalipia kwa mwezi laki 1 na mkataba mwaka 1 utumie usitumie unalipia laki 1 kila mwezi na usipolipia wanakata huduma na ukikaa miezi 2 mfn bila kulipia ndo ukaenda kulipa kwanza wanakata ile miezi miwili usiolipia then ndo yanafuata mengine
uzuri wake ni unlimited full speed
torrrent huwa napata mpk 2.5 Mbps na hapo ni mchana
Nadhani ingekuwa ni vyema kama ungetuambia ni eneo gani unaloishi ili tujue ni namna gani tunaweza kukushauri, maana si kila kampuni inayotoa huduma ya Internet inaweza kuwa na coverage katika eneo lako.Wakuu Nimejipanga na kiasi cha 300k niko sehem ambayo fibe bado hazijafika na ninaitaji kufunga wifi ya unlimited na yenye network tulivu Sana je ni company ipi inaweza nipa huduma hiyo
Mkuu kuna vifaa vyovyote mtu anatakiwa kununua?vodacom utalipia kwa mwezi laki 1 na mkataba mwaka 1 utumie usitumie unalipia laki 1 kila mwezi na usipolipia wanakata huduma na ukikaa miezi 2 mfn bila kulipia ndo ukaenda kulipa kwanza wanakata ile miezi miwili usiolipia then ndo yanafuata mengine
uzuri wake ni unlimited full speed
torrrent huwa napata mpk 2.5 Mbps na hapo ni mchana
Kama upo Kigamboni, basi nakushauri utumie Supa Kasi Internet ya Vodacom ambayo ina coverage nzuri kwenye eneo lote la kigamboni. Ukijiunga na Supa Kasi Internet ya Vodacom, unaweza kupata Unlimited Internet yenye kasi ya 10Mbps kwa TZS 115,000 kwa mwezi, au 20Mbps kwa TZS 165,000 mwezi.Dar es salaam kigamboni mkuu
Ukilipia hiyo pesa wanakuja kukufunguia bule?Kama upo Kigamboni, basi nakushauri utumie Supa Kasi Internet ya Vodacom ambayo ina coverage nzuri kwenye eneo lote la kigamboni. Ukijiunga na Supa Kasi Internet ya Vodacom, unaweza kupata Unlimited Internet yenye kasi ya 10Mbps kwa TZS 115,000 kwa mwezi, au 20Mbps kwa TZS 165,000 mwezi.
Faida ya kujiunga na hii Supa Kasi Internet ya Vodacom, ni kwamba ukilipia hicho kifurushi chako cha 10Mbps au 20Mbps, wao watakufungia Internet bure na watakupa kifaa cha WiFi bure.
Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana nao kuwaandikia barua pepe business@vodacom.co.tz
Ndio. Watakuja kukufungia bure na kukupa vifaa vyote bure.Ukilipia hiyo pesa wanakuja kukufunguia bule?
Na vipi kuhusu huduma ya internet Yao haisumbuiKama upo Kigamboni, basi nakushauri utumie Supa Kasi Internet ya Vodacom ambayo ina coverage nzuri kwenye eneo lote la kigamboni. Ukijiunga na Supa Kasi Internet ya Vodacom, unaweza kupata Unlimited Internet yenye kasi ya 10Mbps kwa TZS 115,000 kwa mwezi, au 20Mbps kwa TZS 165,000 mwezi.
Faida ya kujiunga na hii Supa Kasi Internet ya Vodacom, ni kwamba ukilipia hicho kifurushi chako cha 10Mbps au 20Mbps, wao watakufungia Internet bure na watakupa kifaa cha WiFi bure.
Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana nao kuwaandikia barua pepe business@vodacom.co.tz
Hapana. Internet ya Vodacom ni ya uhakika na haisumbui kabisa.Na vipi kuhusu huduma ya internet Yao haisumbui