Ndio utaweza ku- connect hadi watu 10. Lakini speed utakayoipata haitakuwa sawa kama ambavyo ungetumia wewe mwenyewe, kwa sababu ukishaunganisha mtu zaidi ya mmoja kwenye kifaa chako cha Internet, wote mnakuwa mnagawana matumizi ya speed hiyo ya 10Mbps au 20Mpbs. Kwa lugha nyingine, speed utakayoipata itategemea na wenzako unaotumia nao wanatumiaje.Naweza konect watu 10 na wao wakapata speed Ile Ile ya 10mpbs mkuu?
Ooh! Hii inautofaut Na fibe ambazo zenyewe network yake haishukiNdio utaweza ku- connect hadi watu 10. Lakini speed utakayoipata haitakuwa sawa kama ambavyo ungetumia wewe mwenyewe, kwa sababu ukishaunganisha mtu zaidi ya mmoja kwenye kifaa chako cha Internet, wote mnakuwa mnagawana matumizi ya speed hiyo ya 10Mbps au 20Mpbs. Kwa lugha nyingine, speed utakayoipata itategemea na wenzako unaotumia nao wanatumiaje.
Zote ni sawa, iwe unatumia wireless Internet, Fiber Internet au VSAT Internet. Ukinunua 10Mbps au 20Mbps, kweli utaipata hiyo speed ya 10Mbps au 20Mbps. Lakini ukiashaongeza watumiaji, lazima kiwango cha spidi kitapungua kwako na kwa watumiaji wengine mnaotumia nao pamoja.Ooh! Hii inautofaut Na fibe ambazo zenyewe network yake haishuki
umeelezea vizuri sanaKama upo Kigamboni, basi nakushauri utumie Supa Kasi Internet ya Vodacom ambayo ina coverage nzuri kwenye eneo lote la kigamboni. Ukijiunga na Supa Kasi Internet ya Vodacom, unaweza kupata Unlimited Internet yenye kasi ya 10Mbps kwa TZS 115,000 kwa mwezi, au 20Mbps kwa TZS 165,000 mwezi.
Faida ya kujiunga na hii Supa Kasi Internet ya Vodacom, ni kwamba ukilipia hicho kifurushi chako cha 10Mbps au 20Mbps, wao watakufungia Internet bure na watakupa kifaa cha WiFi bure.
Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana nao kuwaandikia barua pepe business@vodacom.co.tz
ningekupa Thanks 3 ila haiwezekani, umeelezea vizuri sanaZote ni sawa, iwe unatumia wireless Internet, Fiber Internet au VSAT Internet. Ukinunua 10Mbps au 20Mbps, kweli utaipata hiyo speed ya 10Mbps au 20Mbps. Lakini ukiashaongeza watumiaji, lazima kiwango cha spidi kitapungua kwako na kwa watumiaji wengine mnaotumia nao pamoja.
Ili uweze kuelewa vyema ninachozungumzia hapa, naomba nikupe mfano huu: Chukua chungwa moja zima kisha ulimenye na uliandae vyema tayari kwa kulila. Hilo chungwa ukiamua ulile wewe mwenyewe, basi utakula lote wewe mwenyewe na utaufaidi utamu wake wote wewe mwenyewe. Lakini, ukishaamua kugawana na wenzako, basi ni lazima ulikate hilo chungwa vipande vipande ili kila mtu uliyekusudia ale hilo chungwa, naye apate kipande kidogo ili naye aonje utamu wake. Vivyo hivyo hali hii ipo katika matumizi ya Internet pia. Ukiamua kutumia Internet yote wewe kama wewe bila kumuweka mtu mwingine atumie, basi utaipata speed yote ya 10Mbps au 20Mbps. Lakini ukiamua kuunganisha na wengine ili watumie hiyo Internet, basi lazima mgawane hiyo speed ya Internet ya 10Mbps au 20Mbps.
Ha ha haaa!!! Umenifanya nicheke sana. Ila shukrani sana mkuu.ningekupa Thanks 3 ila haiwezekani, umeelezea vizuri sana
Oooh Sawa mkuu nimekuelewa vzr na vip ulipiaji wake kwa mwezi ukiisha huduma inasimama na ciku ntakayo nipia tena itaanza au Kuna sheria?Zote ni sawa, iwe unatumia wireless Internet, Fiber Internet au VSAT Internet. Ukinunua 10Mbps au 20Mbps, kweli utaipata hiyo speed ya 10Mbps au 20Mbps. Lakini ukiashaongeza watumiaji, lazima kiwango cha spidi kitapungua kwako na kwa watumiaji wengine mnaotumia nao pamoja.
Ili uweze kuelewa vyema ninachozungumzia hapa, naomba nikupe mfano huu: Chukua chungwa moja zima kisha ulimenye na uliandae vyema tayari kwa kulila. Hilo chungwa ukiamua ulile wewe mwenyewe, basi utakula lote wewe mwenyewe na utaufaidi utamu wake wote wewe mwenyewe. Lakini, ukishaamua kugawana na wenzako, basi ni lazima ulikate hilo chungwa vipande vipande ili kila mtu uliyekusudia ale hilo chungwa, naye apate kipande kidogo ili naye aonje utamu wake. Vivyo hivyo hali hii ipo katika matumizi ya Internet pia. Ukiamua kutumia Internet yote wewe kama wewe bila kumuweka mtu mwingine atumie, basi utaipata speed yote ya 10Mbps au 20Mbps. Lakini ukiamua kuunganisha na wengine ili watumie hiyo Internet, basi lazima mgawane hiyo speed ya Internet ya 10Mbps au 20Mbps.
Kuna terms na conditions ambazo utapewa siku utakayoamua kujiunga na huduma yaoOooh Sawa mkuu nimekuelewa vzr na vip ulipiaji wake kwa mwezi ukiisha huduma inasimama na ciku ntakayo nipia tena itaanza au Kuna sheria?
Vip mkuu hyo wifi ya voda inachkua mda gani kumaliza process hadi kuwa wamekufungia huduma tiari?vodacom utalipia kwa mwezi laki 1 na mkataba mwaka 1 utumie usitumie unalipia laki 1 kila mwezi na usipolipia wanakata huduma na ukikaa miezi 2 mfn bila kulipia ndo ukaenda kulipa kwanza wanakata ile miezi miwili usiolipia then ndo yanafuata mengine
uzuri wake ni unlimited full speed
torrrent huwa napata mpk 2.5 Mbps na hapo ni mchana