donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,258 Reaction score 22,139 Apr 3, 2011 #1 mimi ni mpenz sana wa kifaa hiki cha mziki. Ningependa kujifunza kupiga gitaa kwaio naomba msaada kwa wataalam waweze kunisaidia
mimi ni mpenz sana wa kifaa hiki cha mziki. Ningependa kujifunza kupiga gitaa kwaio naomba msaada kwa wataalam waweze kunisaidia
Roulette JF-Expert Member Joined Dec 15, 2010 Posts 5,568 Reaction score 5,388 Apr 3, 2011 #2 Hi mkuu, Gonga hapa, hata mimi nilianzia hapo. Ila kwa exercice zaidi ningekushauri ujiunge na kwaya la kanisa lililo karibu yako maana wenyewe u-practice sana. Free Guitar Lessons - Beginners Learn How To Play Guitar for free With Jamorama
Hi mkuu, Gonga hapa, hata mimi nilianzia hapo. Ila kwa exercice zaidi ningekushauri ujiunge na kwaya la kanisa lililo karibu yako maana wenyewe u-practice sana. Free Guitar Lessons - Beginners Learn How To Play Guitar for free With Jamorama