opportunist2012
Member
- Feb 8, 2012
- 92
- 9
Habari zenu wadau,
Ninaomba mtu mwenye taarifa ya sehemu wanapohitaji mwalimu wa Kifaransa anifahamishe.Nina shahada ya Elimu na uzoefu wa miaka 5.Niko tayari kufundisha part time katika shule,chuo,center na hata tuition kwa mtu binafsi.
Ahsanteni.