Wakuu nina frash yangu ambayo imeanza kunizingua baada ya kumuazimisha mtu mmoja lakini sahivi kila nikiichomeka kwenye pc yangu inanipa hii message'' you need to format the disc in drive G: before you can use it'' lakini kila nikiformat inagoma.Naomba msaada nifanyeje?
Nashukuru wakuu ngoja nikapakue nitest
Mbona inaniambia window can not find CHKDSK/FG: naomba msaada zaidi tafadhali
Nashukuru wakuu ngoja nikapakue nitest