Mi nafikiri nia yake ilikuwa njema tu. Kabla ya kupata mtoto maziwa yake yalikuwa yanafanana kwa kila namna lakini baada kupata mtoto hiyo tofauti imejitokeza.
Ni sawa tu na mtu anayeomba ushauri wa namna ya kupunguza kitambi.
Sidhani hata we kama utafurahi kuona maziwa yako yameofautiana kimuonekano.
Ni hayo tu.