Msaada wa kufadhiliwa nisome diploma ya afya

Msaada wa kufadhiliwa nisome diploma ya afya

paulo mlowe

New Member
Joined
Dec 16, 2019
Posts
2
Reaction score
0
Wadau naombeni msaada nahitaji soma diploma in clinical medicine ila naona mfukoni sina chochote na nilifanya application nikachaguliwa gvt mda WA kwenda ilibidi niailishe coz ya capital,na nikaomba tena nikachaguliwa private city college,Naombeni msaada kwa yeyote anayejua hata cha kunishauli ila nilikuwa natafta Ufadhili yeyote anayejua: 0682 518 916

Sent using Jamii Forums mobile app
 
global fund walikua wanafadhili( vyuo vya serikali) bt sina hakika kama wanaendelea,kama unaweza nenda wizara ya afya kaulizie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom