Msaada wa kuedit picha

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,146
Reaction score
7,685
Nimeona kwa watu wengi hii editing nimeipenda na nina picha zangu tatu nahitaji kusaidiwa kufanya hivi kama upo teari naomba uni PM namba ako afu naomba kuelekezwa hij editing ina fanywa vipi msaada tafadhari
 

Attachments

  • 1427557070983.jpg
    19.5 KB · Views: 428
photoshop inafanya. kuna wataalam wengi tu humu wanaweza fanya ungetoa sample pic watu wakafanya wenye muda.

hata kwa mkono mtu anaweza chora
 
Hata smart phone inaedit vizuri tu
 
photoshop inafanya. kuna wataalam wengi tu humu wanaweza fanya ungetoa sample pic watu wakafanya wenye muda.

hata kwa mkono mtu anaweza chora

Ni kweli mkuu ndo maana nilikuwa namuhitaji mtu anae weza au kuelekezwa hiyo programm nashukuru mkuu CHIEF MKWAWA photoshop ngapi
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli mkuu ndo maana nilikuwa namuhitaji mtu anae weza au kuelekezwa hiyo programm nashukuru mkuu CHIEF MKWAWA photoshop ngapi


kuanzia cs3 hadi cs6 pamoja na cc zote zinafanya. ila kuwa na software tu haitoshi inabidi uwe na ujuzi pia
 
Last edited by a moderator:
Nimeona kwa watu wengi hii editing nimeipenda na nina picha zangu tatu nahitaji kusaidiwa kufanya hivi kama upo teari naomba uni PM namba ako afu naomba kuelekezwa hij editing ina fanywa vipi msaada tafadhari

Hii co photoshop imechorwa
 
Hizo play store nazipata kaka? Hapo kweli ujuzi nitajifunza

ipo photoshop ya simu ila sio nzuri. ninayozungumzia mimi ni ya kwenye pc.

image editor za simu zinakuwa na ready template tu huwi na uwanja mkubwa kama kwenye pc
 
danya kama bado upo interested kuna app ya pc inaitwa AKVIS inafanya hii kazi vizuri tu



1.original pic
2.picha iliofanywa kama painting
3 na 4. nimeeka background

search AKVIS torrent au nenda kwenye website yao utapata free trial ya siku 10 utest
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…