Hope kama umeelewa hii wapi URL inapatikana jaribu
Hope kama umeelewa hii wapi URL inapatikana jaribu
kuna app inaite iGetter ndio amabayo mmi natumia kudowload..kujua URL ndo ya kitu unachohitaji. fungua hyo picha au vdeo ist then mwisho wa koment upande wa kulia utakuta vdot vtatu ukigusa hapo utaona copy url na opt nyengine sasa wewe utakopy na ukienda kuke kwa ap hyo ya igetter ukiselect paste.. itakupa prevew kama ndo kitu chenyewe..
Download app iitwayo INSTA SAVE,ukiwa na hiyo kila post utakayolike kupitia app hyo utaikuta moja kwa moja katika gallery yako
Kwanza hongera umejieleza vizuri saana na picha juu,nategemea hutoulizwa lolote zaidi ya maelekezo tu,by the way ata mimi nina tatizo kama lako yaani mpaka leo nashindwa kudownload izo video Instagram,utakuta nimeona video nikaipenda japo nime download izo Application kama Instadownloader,Phonegram lakn ikishanipa masharti ya kucopy URL basi nabaki kuduwaa tu,ivo basi hauko peke ako Marnah
Post yako itatusaidia wengi,##acha technician's wetu waje!!##
ahsante sana mkuu@mkomile natumia INSAVE nzuri sana Ila kuna baadhi ya videos nikitaka kutafuta iyo URL siipati badala yake inaandika REPORT INAPPROPRIATE nini tatizo?Download app iitwayo INSTA SAVE,ukiwa na hiyo kila post utakayolike kupitia app hyo utaikuta moja kwa moja katika gallery yako
ahsante sana mkuu@Emelamu Junia nimeweza kucopy iyo URL lakn mbona baadhi ya videos hazinipatii iyo URL badala yake inaandika REPORT INAPPROPRIATE??kuna app inaite iGetter ndio amabayo mmi natumia kudowload..kujua URL ndo ya kitu unachohitaji. fungua hyo picha au vdeo ist then mwisho wa koment upande wa kulia utakuta vdot vtatu ukigusa hapo utaona copy url na opt nyengine sasa wewe utakopy na ukienda kuke kwa ap hyo ya igetter ukiselect paste.. itakupa prevew kama ndo kitu chenyewe..
ahsante sana mkuu nimeweza lakini mbona kuna videos nyingine nikitaka kuchukua iyo URL KWENYE video siipati iyo URL badala yake inaandika REPORT INAPPROPRIATE..kwanini tafadhali?????msaada wako muhimu mkuu..tafadhali usichoke NumeratorHope kama umeelewa hii wapi URL inapatikana jaribu
URL unaipata hapo kwenye three dots nilipozungushia duara jeusi
mkuu naomba unifahamishe namna ya kuzungushia icho kiduara cheusi au chekundu whatever,kama ulivyomuelekeza mtoa mada je nifanyeje ili kuzungushia hako kaduara tafadhali??????
nimepata kitu hapa....
Numerator ahsante mkuu nimeweza lakini mbona video's nyingine nikiclick hapo kwenye URL sipati URL ZAKE??????badala yake inaandika REPORT INAPPROPRIATE........kwanini tafadhali??
instagram said:You can get a link to photos and videos that have been shared publicly. If an account is set to private, you won't be able to copy a link to any of their posts.
Nashindwa kutafsiri vizuri kwa kiswahili !
Ila nikua huwezi access url za video ambazo hazijawa shared on public.