msaada wa kudownload pdf

QUALIFIED

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2012
Posts
773
Reaction score
119
wakuu nina nokia 2700 classic nimejaribu kudownload pdf imekataa nifanyeje?
 
wakuu nina nokia 2700 classic nimejaribu kudownload pdf imekataa nifanyeje?

Kwa nnavojua mimi, nokia 2700 classc haina uwezo wa ku2mia pdf. so haitawezekana. labla kama kuna anaejua.
 
hyo cmu ni java... But i heard kuna pdf version ya java
 
Kama haina software ya pdf, basi mkuu wala usipoteze muda, haiwezekani!
 
Kijana shukuru kunawatu wanamoyo wa kusaidia maana Duu mara ya mwisho kutumia feature phone ilikua 2007(He he he heeee)
Haya jichagulie HIZI HAPA ila usitegemee zinafanya kazi vizuri saaana
 
Nitapataje wap software ya pdf,coz nna tatzo km hlo pia waungwana.mi n nokia 5310c-2(xpresmusic)
 
Mimi nadhani kudownload file la pdf sio tatizo, unless kama kuna tatizo ambalo ni kwa mafaili yote hata mp3. Tatizo la pdf files sio kudownload bali kulifungua ili ulisome.
Niliwahi kufungua pdf file na kusoma kwa kutembelea hapa:m.poschi.net. Kama unatumia opera mini, download hiyo pdf kisha fungua hiyo address fuata maelekezo ya kuconvert kuwa html, kuupload na kulisoma. Lakini siku hizi inagoma. Labda ujaribu. Kama huwe zi kudownload ujue kuwa sio kwa sababu ni pdf kunatatizo lingine. Tambua kuwa mafail madogo ya pdf ndio unaweza kusoma.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…