KIBURUDISHO JF-Expert Member Joined Mar 28, 2011 Posts 1,002 Reaction score 278 Jul 10, 2012 #1 Wakubwa habari za mida hii Tafadhali naombeni msaada wenu kwa wazoefu wa masuala haya kudownload nyimbo.Hapo awali niliipata youtube downloder ila haifanyi kazi vizuri inadownload robo tu ya wimbo.Ninatumia simu ya samsung GT S5830i(android)
Wakubwa habari za mida hii Tafadhali naombeni msaada wenu kwa wazoefu wa masuala haya kudownload nyimbo.Hapo awali niliipata youtube downloder ila haifanyi kazi vizuri inadownload robo tu ya wimbo.Ninatumia simu ya samsung GT S5830i(android)