msaada wa kudownload free fifa games for pc!

msaada wa kudownload free fifa games for pc!

the horticulturist

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2012
Posts
1,959
Reaction score
1,929
ndugu zanguni naombeni wapi ni download games za fifa football for pc maana nimejaribu kutafuta internet napata za trial tu!?
 
Kwanza nenda Google search 'Go for files' itakuletea majibu ambayo moja kwa moja wanakupeleka ktk website yao, kisha watakupa nafasi ili U_Install hiyo 'Go for files'. Download na Install hiyo 'Go for files'. Ukimaliza kufanya Installation fungua hiyo 'Go for files' nenda ktk mahali pa SEARCH hapo andika Game lolote unalotaka kisha Download, uzuri wa 'Go for Files' huwa inaanza kujihesabu kwenye ku_download hapohapo tofauti na Torrents. Kama ni Fifa 13 mi ninayo na ninaweza nikakupatia Bureee kama upo Dar, hiyo Fifa 14 bado nai_download.
 
Download torrent downloaders kama Bittorrent na µTorrent kisha uinstall ingia mitandao ya torrents kama thepiratebay.sx na kickass.to kisha search hilo FIFA game, zitakuja search results sasa download hilo file la torrents. torrents file ni dogo tu lina KBs kisha liopen, utaona files zilizomo ndani ya torrent yako, anza kudownload.
NOTE: Kuna baadhi ya torrents zipo slow, kwa hiyo kuwa na subira.
 
Back
Top Bottom