Msaada wa kudownload application simu ya HTC

Wamajanga

Senior Member
Joined
Jun 24, 2014
Posts
133
Reaction score
47
Ndugu zanguni naombeni maelekezo,uwezo na sifa za HTC wildfire (kama nimelikosea jina utanirekebisha) maana inakataa kudownload application zaidi ya tatu pia tango inakataa kufanya kazi. Sijajua tatizo ni nini au natumia memory ndogo mana natumia 2GB ila kuna muda mwingine naziremove ktk memory ila bado inakatamemory
 

Simu hyo inainternal memory ndgo sanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…