Jamani naomba msaada wenu simu yangu tajwa apo juu ilikua inasumbua baadhi ya progaramu ninkaamua kufomart
sasa kila kitu kimerudi kama mwanzo ila kwenye internet ndo inagoma wenye kujua namna na jinsi ya kurudisha internet ifanye kazi tena alafu naomba msaada mwenye kujua wapi naweza nunua vivyaa vya hyo simu kama kioo na betri
msaada wenu wana jf