Habari wana jamii forum naomba mwenye kujua jinsi ya kuchat snapchat maana nimejiunga naishia kupiga picha na kubadili picha kwenye profile tu mfano nataka nikasome page ya mtu mfano ya wema sepetu nafanyaje ili nipate page ya mtu , na mimi kuandika.
long time sipo snapchat inawezekana mambo yamebadilika. huwa unaona picha mtembeo za mtu pale yeye anapopost then baada ya muda fulani unakuwa huzioni automatic hupotea. swipe kulia kwenye list ya watu wako utaziona. au pengine marafiki wako hawapo active hawapost chochote ndio maana huoni.